YANGA KUMSHUSHA MGHANA

INAELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya winga Mghana Augustino Okra ambaye ni winga. Nyota huyo anatajwa kuwa kwenye hesabu za mwisho kumalizana na mabosi hao kwa ajili ya kuanza changamoto mpya. Okra aliwahi kucheza ndani ya kikosi cha Simba alikwama kuonyesha uwezo wake kwa wakati huo mpaka alipokutana na Thank You….

Read More

NAMUNGO YAMTAMBULISHA MWINYI ZAHERA KUWA KOCHA

Klabu ya Namungo imemtambulisha Mwinyi Zahera kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Namungo kutokea mkoani Lindi ilikuwa inanolewa na kocha Denis Kitambi ambaye ametimkia Geita Gold FC. Namungo ipo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu tayari imecheza mechi 14 ikishinda mechi 4, kufungwa 5 na droo 5 na ina pointi 17.

Read More

STRAIKA MCOLOMBIA MLANGONI SIMBA

IMEELEZWA kuwa Simba muda wowote watakamilisha usajili wa mshambuliaji wa Klabu ya Comerciantes FC, Mauricio Cortes raia wa Colombia. Simba imepanga kukifanyia maboresho makubwa kikosi chao, kati ya hayo ni safu ya ushambuliaji ambayo Kocha Mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha amependekeza usajili huo. Safu hiyo ya ushambuliaji hivi sasa inaongozwa na John Bocco, Jean…

Read More

SANKARA APIGA SIMU YANGA

MSHAMBULIAJI wa Asec Mimosas, Karamoko Sankara hatimaye amefunguka dili lake na Yanga huku akisema kuwa amekuwa akiwapigia simu wachezaji wa sasa wa Yanga, Pacome Zouzoua na Kouassi Attohoula Yao ambao ni marafiki zake. Sankara amekuwa akihusishwa kwa muda sasa kutakiwa na Yanga huku msimu huu katika Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa amefanikiwa kufunga mabao 4…

Read More

CHAMPIONSHIP KINAPIGIKA LEO NA MKWANJA NI WAKUTOSHA

Ligi daraja la pili nchini Uingereza maarufu kama Championship itaendelea ijumaa ya leo na michezo mbalimbali itakwenda kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, Huku mteja wa Meridianbet ukiwa na nafasi ya kujipigia mkwanja wako wa kutosha. Kuhakikisha kua kipindi hichi cha sikukuu wateja wa Meridianbet hawakai kinyonge mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakimwaga Odds…

Read More

SIMBA KUSHUSHA MKATA UMEME WA KAZI

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kwenye mpango wa usajili utaongeza mkata umeme wa kazi mithili ya Fabrince Ngoma ili kuongeza uimara kwenye timu hiyo. Ipo wazi kwamba Simba kwa msimu wa 2023/24 haijawa bora kwenye eneo la ulinzi na ushambuliaji huku eneo la ukabaji ikiwa na wachezaji wa kazi kama Fabrince Ngoma, Sadio Kanoute na…

Read More

YANGA YAJIVUNIA JEMBE HILI LA KAZI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa una kila sababu za kujivunia uwepo wa wachezaji wao wote wanaofanya kazi kwa ushirikiano ikiwa ni pamoja na kiungo Aziz KI. Ikumbukwe kwamba Aziz KI ni namba moja kwenye utupiaji ndani ya ligi akiwa na mabao 10 kibindoni sawa na namba ya jezi yake pendwa mgongoni akiwa uwanjani kutimiza…

Read More

SHABIKI WA SIMBA, MAN U ASHINDA MILIONI 173 ZA M-Bet

SHABIKI wa Klabu ya Simba na timu ya Manchester United ya England Seif Babu amefunga droo ya Perfect12 ya kampuni ya M-Bet kibabe baada ya kushinda Sh 173,056,020 kwa kubashiri matokeo ya mechi 12 za ligi mbalimbai duniani kiusahihi. Babu ambaye ni mkazi wa Iringa, alisema kuwa haikuwa kazi rahisi kubashiri matokeo hayo pamoja na…

Read More

MABEKI SIMBA KWENYE MTEGO HUKO

MABEKI wa Simba chini ya kiongozi wao Henock Inonga, Che Malone , Kenedy Juma wameingia kwenye mtengo kwa kuambiwa kwamba wanapaswa kutimiza majukumu yao na kuzuia kufungwa mabao. Timu hiyo kwenye mchezo wa mwisho kwa 2023 dhidi ya KMC ilikwama kukomba pointi tatu na kugawana mojamoja dhidi ya KMC kutokana na kufungwa bao la jioni…

Read More

ORODHA YA MAKOCHA WALIOKUTANA NA THANK YOU

NDANI ya Ligi Kuu Bara kuna makocha ambao waliomba kuondoka kwenye timu zao kwa kuandika barua na wengine walikutana na Thank You kutokana na kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na timu ambazo walikuwa wakizifundisha kisha maisha yakaendelea. Ni msimu wa 2023/24 ambao umekuwa na matukio mengi yanayoendelea hapa tunakuletea baadhi ya makocha ambao walikutana na…

Read More

GAMONDI AWAPA MALEKEZO MAPYA NYOTA WAKE

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wote ni muhimu kuongeza juhudi kwenye mechi ambazo wanacheza ili kupata matokeo. Timu hiyo kwenye msimamo ni namba mbili na funga 2023 ilikuwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma baada ya dakika 90 ubao ulisoma Tabora United 0-1 Yanga na bao likifungwa na Aziz KI. Aziz KI anafikisha…

Read More

MERIDIANBET YATOA MSAADA MBAGALA RANGI TATU

Subiri yavuta heri na hii imetokea leo kwani baada ya Meridianbet kuzunguka sehemu mbalimbali kutoa msaada, Hatimae leo wakazi wa eneo la Mbagala Rangi Tatu wamefikiwa na kupata msaada kutoka kwa wakongwe hao wa michezo ya kubashiri. Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefika Mbagala Rangi tatu na kutoa msaada wa kwa wajasiriamali wa eneo…

Read More