
KINDA MTANZANIA WA MIAKA 12 ANG’ARA URUSI
NI wazi kuwa Tanzania imeng’ara baada ya mwakilishi pekee kinda Mtanzania, Harrith Chunga Misonge mwenye umri wa miaka 12 kuwa gumzo. Misonge mkazi anaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Phygital Football for Friendship akiwa mwakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mwakilishi mwingine ni mtoto kutoka Afrika ya Kati lakini hajang’ara kama Misonge ambaye…