
SAFU YA ULINZI INASUKWA UPYWA NA GAMONDI YANGA
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watafanyia kazi makosa katika mechi za kimataifa upande wa ulinzi ili kutoruhusu mabao mengi ya kufungwa. Ipo wazi kuwa katika mechi mbili ilizoshuka uwanjani hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, ukuta wa Yanga uliokota mabao manne, ugenini dhidi ya CR Beloizdad ilitunguliwa mabao matatu na…