
WAARABU WAWAFANYIA UKOROFI WACHEZAJI WAWILI WA YANGA
WAARABU wa Misri, Al Ahly kwenye mechi za kimataifa ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika wamewafanyia ukorofi wachezaji wawili wa Yanga ndani ya msako wa ushindi kimataifa.
WAARABU wa Misri, Al Ahly kwenye mechi za kimataifa ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika wamewafanyia ukorofi wachezaji wawili wa Yanga ndani ya msako wa ushindi kimataifa.
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga a kimataifa Yanga wapo ndani ya ardhi ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mechi zao zinazofuata kimataifa na kitaifa. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi imetinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na pointi 8 kibindoni. Mchezo wao wa mwisho hatua ya makundi ilipoteza pointi…
Jumamosi za leo ni za kibabe sana ambapo mechi kibao zitapigwa katika ligi mbalimbali na tayari meridianbet wamekuwekea ODDS za maana na machaguo mengi. Suka mkeka wako wa nguvu uondoke na maokoto ya maana leo. Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1, baada ya kuendelea hapo jana, leo hii pia kuna mechi zitapigwa ambapo Stade Reims…
KIPA mwenye rekodi ya kuokoa penalti kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Ayoub Lakred hatua ya makundi ndani ya kikosi cha Simba amerejea kazini baada ya adhabu yake kukata hivyo kuna uwezekano wapinzani wao Jwaneng Galaxy wakakutana naye. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca ugenini aliokoa penalti dakika…
Tunakuletea mchezo mpya wa kasino Mtandaoni unaoendelea katika Magharibi ya Kusini. Na katika mchezo huu, msako umetangazwa, lakini si kwa vichwa vilivyotekwa, bali kwa bonasi za kasino zenye kuvutia. Ni juu yako tu kujiunga kutafuta ushindi. “Most Wanted” ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa Amigo. Katika mchezo huu, utapata bonasi kubwa. Kuna malipo ya…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yusuph Dabo amesema kuwa wanatambua ushindani ni mkubwa watazidi kupambana kwa kuwa wana jambo lao kila mchezouliopo mbele yao wakihitaji kufanya vizuri. Azam FC kwenye mechi mbili mfululizo iliambulia sare ilikuwa dhidi ya Tabora United na Tanzania Prisons. “Tupo imara kwenye mechi ambazo tunacheza na malengo yetu ni kuona kwamba…
MASTAA wa Simba wamepewa majukumu makubwa kuhakikisha kwamba wanacheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy kama fainali
LIGI ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi FT: Al Ahly 1-0 Yanga Goal dakika ya 46 El Shahat MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa ukiwa ni wa sita kwa wawakilishi wa Tanzania Yanga wapo ugenini nchini Misri dhidi ya Al Ahly. Dakika 45 za mwanzo timu zote zimetoshana nguvu kwa kuhushudia ubao ukisoma Al Ahly 0-0…
Mwezi mpya umeanza hii leo ambao ni mwezi Machi na meridianbet wanakwambia leo hii piga pesa za maana kwani ODDS KUBWA na machaguo ya kibabae wameshakuwekea. Ufaransa, LIGUE 1 AS Monaco atamkaribisha PSG ambaye ndiye kinara wa ligi na bingwa mtetezi wa ligi hiyo akipewa upendeleo kabisa ndnai za meridianbet kushinda mechi hii akiwa na…
KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopewa jina la Vita ya Kisasi huku mgeni rasmi akiwa ni beki Henoc Inonga benchi la ufundi limebainisha kuwa linahitaji ushindi. Abdelahak Benchikha, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wanachohitaji kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy, Uwanja wa Mkapa ni ushindi. Kikosi cha…
Ligi ya mabingwa barani Afrika itaendelea leo ambapo ichezo kadhaa itapigwa katika viwanja viwili tofauti ambapo mchezo mmoja utapigwa nchini Misri, Huku mwingine ukipigwa pale nchini Algeria. Vilabu vinne ambavyo ni Yanga, Al Ahly, Medeama Fc, na CFR Belouzdad ndio vitaingia dimbani leo kukipiga katika kundi D, Huku mabingwa wa kubashiri Meridianbet wamemwaga ODDS KUBWA…
MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za Simba na Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…
MWILI wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, unatarajiwa kuzikwa tarehe 2 Machi 2024, mjini Unguja. Ratiba ya mazishi ya marehemu Mwinyi imetangazwa leo tarehe 29 Februari 2024 na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akitangaza kifo chake. “Kwa niaba ya Serikali ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania…
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema umeona matangazo ya kusitishwa huduma kwa Wanachama wa NHIF kwa baadhi ya vituo binafsi; Regency Medical Center, Kairuki, Hospitali za TMJ, Hospitali ya Apollo na Hospitali zote za Aga Khan Nchini kuanzia leo Machi 1, 2024 na kueleza uamuzi huo ni kinyume na mkataba wa utoaji…
MPANGO kazi kwa Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakuwa ni kucheza kwa kushambulia kwa kuwa ni sanaa inayopendwa na benchi la ufundi. Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa anapenda kuona timu ikicheza na sio kujilinda muda mrefu jambo ambalo limekuwa likiwapa matokeo chanya. Yanga ina kibarua…
JEAN Baleke mrithi wake ndani ya Simba ni Michael Fred ambaye bado anapambania kuonyesha uwezo wake akiwa kafunga bao moja kwenye mchezo wa ligi na alifunga bao moja kwenye mchezo wa Azam Sports Federation uliochezwa Uwanja wa Azam Complex
WAKIWA kwenye hesabu za kusaka ushindi dhidi ya Al Ahly mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wameweka wazi kuwa mpango kazi mkubwa ni kuwavuruga Waarabu wa Al Ahly kwenye mchezo wa mwisho ili wamalize wakiwa nafasi ya kwanza katika kundi D walilolopo