
UKURASA MPYA UFUNGULIWE KWA HESABU MPYA
WAKATI wa sasa kwenye mashindano ambayo yanaendelea ni muhimu kila timu kukamilisha mipango iliyopanga kuikamilisha ndani ya mwaka. Hakuna ambaye anapenda kuona kwamba anafungua ukurasa mpya wa mwaka huku mipango mingi ikiwa haijanikiwa kufikia pale ambapo ilikuwa inahitajika. Ipo wazi kwamba kila mmoja ni lazima awe makini kwenye kutimiza majukumu yake kwa wakati uliopo na…