
HAALAND AWEKA REKODI PREMIER
ERLING Haaland mshambuliaji wa Manchester City wakati timu yake ikishinda mabao 3-0 dhidi ya Wolves ugenini ameandika rekodi nyingine tena. Ni bao la Jack Grealish dakika ya kwanza kisha likapachikwa bao na Haaland mwenyewe dakika ya 16 na lile la tatu ilikuwa ni kazi ya Phil Foden dakika ya 69. Nyota huyo anaweka rekodi ya…