
MITAMBO YA KAZI AZAM FC INAPIKWA UPYA
MITAMBO ya kazi ndani ya kikosi cha Azam FC imeanza kazi kwa ajili ya kuendeleza ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara huku dhamira kubwa ikiwa ni kuendeleza ushindani kwenye mechi ambazo watakuwa uwanjani vinara hao wa Ligi Kuu Bara