
KIKWAZO KWENYE MERSEYSIDE DERBY HIKI HAPA
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Arne Slot ameweka wazi kuwa mchezo wao wa Merseyside Derby lazima wapambane kupata ushindi huku kikwazo kikitajwa kuwa ni David Moyes ambaye ni Kocha Mkuu wa Everton kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Anfield. Huu ni mchezo wa Ligi Kuu England ambapo vinara hao wa ligi wakiwa na pointi 70 baada…