
KARIAKOO DABI ASILIMIA CHACHE KUPIGWA JUNI 15, TAREHE MPYA KUPANGWA
JUNI 15 2025 kwa mujibu wa Bodi ya Ligi Tanzania Bara mchezo namba 184 kati ya Yanga SC vs Simba SC unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Simba SC wameruhusiwa kufanya mazoezi ya maandalizi Uwanja wa Mkapa na Wizara ya Michezo ila kuna hatihati mchezo huo ukapangiwa tarehe nyingine. Licha yakuruhusiwa kufanya mazoezi ya mwisho Juni…