KIPA CAMARA KUKUTANA NA THANK YOU SIMBA SC

MOUSA Camara kipa namba moja wa Simba SC anatajwa kuwa kwenye hesabu za kukutana na Thank You ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids. Camara ni chaguo la kwanza ndani ya Simba SC ambayo ipo kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KenGold unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi,…

Read More

MSHAMBULIAJI WA MABAO MLANGONI YANGA SC

JONATHAN Sowah mshambuliaji wa Singida Black Stars anatajwa kuwa kwenye mpango wa kutakiwa na Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Sowah alimpa tabu kipa namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra kwenye mchezo wa ligi walipokutana Uwanja wa KMC Complex kwa kumtungua bao moja. Kwenye mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma…

Read More

CHAMA AANDALIWA KUIKABILI TANZANIA PRISONS

Clatous Chama kiungo mshambuliaji wa Yanga SC anaandaliwa na benchi la ufundi kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao Tanzania Prisons. Yanga SC iliyo nafasi ya kwanza kwenye msimamo na pointi 73 inatarajiwa kukutana na Tanzania Prisons iliyo nafasi ya 13 na pointi 30 Juni 18 Uwanja wa Sokoine. Kwenye mazoezi ambayo yanafanyika Chama amekuwa akipewa…

Read More

FEISAL NGOMA NZITO KUSEPA AZAM FC

NGOMA ni nzito kwa kiungo mshambuliaji Feisal Salum kusepa ndani ya Azam FC kupata changamoto sehemu nyingine mpya kutokana na mabosi wa timu hiyo kuongeza dau upande wa mshahara. Fei amekuwa akitajwa kuwa kwenye rada za Simba SC na Yanga SC ambazo zinapigana vikumbo kusaka saini yake. Ipo wazi kwamba Fei ni namba moja kwa…

Read More

KWA FAIDA YA NANI? MNGUTO AJIUZULU, KASONGO ASIMAMISHWA

Katika mfululizo wa matukio makubwa yanayoikumba Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Steven Mnguto amejiuzulu rasmi nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi, huku Ofisa Mtendaji Mkuu, Almasi Kasongo, akisimamishwa kazi na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia. Taarifa ya Juni 13 iliyotolewa na Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao, imeeleza…

Read More

MICHUANO YA COSAFA KUENDELEA LEO

Michuano ya Kombe la COSAFA 2025 inaendelea leo kwa hatua ya nusu fainali, ambapo mechi mbili za kuvutia zinatarajiwa kupigwa. Katika mchezo wa kwanza, Angola watakutana na Madagascar saa 10:00 jioni, huku mchezo wa pili ukiwakutanisha wenyeji Afrika Kusini dhidi ya Comoro saa 1:00 usiku. Kwa wale wabashiri, Meridianbet imeandaa mazingira bora ya kubashiri kwa…

Read More