
MBOSSO ATIKISA NA NGOMA MPYA “AVIOLA (BONGE LA DADA)”
MKALI anayekimbiza kunako Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi almaarufu kama Mbosso Khan, ametikisa tena anga ya muziki kupitia ngoma yake mpya “Aviola (Bonge la Dada).” Wimbo huu ambao tayari unafanya vizuri mitandaoni na kwenye vituo vya redio, umekuwa kivutio kikubwa kwa wapenzi wa burudani kutokana na mdundo wake wa kuvutia, mashairi yenye hisia kali, pamoja…