
MWAMBA MPANZU KUMBE GARI BADO HALIJAWAKA
WINGA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Ellie Mpanzu ameweka wazi kuwa bado hajafikia ubora wake kwa asilimia 100 kwenye mechi za ushindani hivyo kwa maana hiyo gari bado halijawaka. Hivyo licha yakuwa kwenye mwendelezo katika mechi ambazo anacheza bado chuma hakijapata moto kufikia makali ambayo anayo kutokana na uwezo wake…