
BETI MECHI YA FAINALI REAL BETIS VS CHELSEA NA MERIDINBET LEO
Mabingwa wa Odds kubwa Tanzania Meridianbet wamekupa nafasi kubwa leo hii ya kupiga pesa kwenye mechi ya fainali ya Conference League kati ya Real Betis vs Chelsea. Unasubiri nini kubashiri mechi hii? Real Betis ambao wanakipiga kule LALIGA wao wamemaliza nafasi ya 6 huku wakiwa hawajawahi kuchukua Kombe lolote lile la Ulaya hivyo leo hii…