SIMBA YAGAWANA POINTI NA AZAM FC

UBAO wa Uwanja wa CCM Kirumba umesoma Simba 1-1 Azam FC na mwamuzi wa kati alikuwa ni Ramadhan Kayoko Ni Prince Dube alianza kufunga dakika ya 14 bao hilo likawekwa usawa na Clatous Chama dakika ya 90 kwa pigo la faulo. Wanagawana pointi mojamoja huku wakiachwa kwa pointi 7 na vinara Yanga wenye pointi 37…

Read More

USHINDI KWA NJIA 100, CHEZA KASINO YA REGAL CROWN 100

Kutana na huu mchezo wa kasino mtandaoni kutoka Meridianbet unaitwa Regal Crown 100, kasino hii imetengenezwa na Amigo. Mchezo una majoka ambayo hujikusanya katika nguzo za malipo. Kupitia bonasi ya Pin Win, unaweza kushinda jackpot tatu za kuvutia. Regal Crown 100 ni mchezo wa kasino mtandaoni wenye nguzo tano zilizowekwa katika mistari minne na ina…

Read More

HII HAPA REKODI RAUNDI YA 8 SI MCHEZO

REKODI zinazidi kuandikwa kila leo ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania huku raundi ya 8 ikiwa ni ya kipekee kwenye upande wa mabao ya jumla kufungwa ambayo ni 16. Ikumbukwe kwamba raundi ya 7 yalikusanywa jumla ya mabao 12 huku ile raundi ya sita yakikusanywa jumla ya mabao 13. Rekodi hizo katika raundi mbili zote…

Read More

FT: YANGA 2-1 MASHUJAA, LIGI KUU BARA

YULEYULE shujaa kwenye mchezo uliopita dhidi ya Dodoma Jiji, Mudathir Yahya leo tena kafunga bao la ushindi dhidi ya Mashujaa. Dakika ya 85 zikiwa zimesalia dakika tano mpira kugota mwisho akafunga bao la ushindi na kuipa pointi tatu Yanga inayofikisha pointi 37 ikiwa namba moja kwenye msimamo. Kipindi cha pili Mashujaa wamepata bao la kuweka…

Read More

WAZIRI MKUU MGENI RASMI TASWA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini “TASWA Media Day Bonanza 2024”. Bonanza hilo maalumu linatarajiwa kufanyika Februari 10, 2024 Msasani Beach Club, Dar. Tukio hilo linatarajiwa kuanza saa 3:00 asubuhi, litahusisha pia uzinduzi wa Tuzo za Wanamichezo Bora wa…

Read More

MUDA MKALI WA MABAO YA USIKU YANGA

KWENYE mechi ngumu ambazo wapinzani wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujilinda zaidi, kiungo Mudathir Yahya alikuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja wa Azam Complex. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata sare yake ya kwanza msimu wa 2023/23 Februari 2 ubao wa Uwanja wa Kaitaba uliposoma Kagera Sugar 0-0…

Read More

FAINALI AFCON YA WABABE, DR CONGO MWENDO WAMEUMALIZA

MWENDO wameumaliza DR Congo kwa kupoteza dhidi ya Ivory Coast ambao ni wenyeji wa AFCON 2023 kwa ushindi wa bao 1-0. Bao pekee la ushindi kwa Ivory Coast lilipachikwa kimiani na Sebastien Haller dakika ya 65 likadumu mpaka mwisho wa mchezo huo. Katika nusu fainali ya kwanza Nigeria walitangulia kutinga hatua ya fainali Kwa ushindi…

Read More

AZIZ KI ATUA NA MABAO YA GUEDE YANGA

MABOSI wa Yanga wana matumaini makubwa na mshambuliaji wao mpya, Joseph Guede huku ukiamini kuwa nyota huyo atafaidika zaidi mara atakaporejea kiungo Mburkinabe, Stephen Aziz Ki. Kiungo huyo muda wowote kuanzia jana alitarajiwa kutua nchini kwa ajili ya kuuwahi mchezo wa ligi kuu dhidi ya Prisons Jumapili hii baada ya kuondolewa katika Fainali za Kombe…

Read More