
ISHU YA HISA NA UMILIKI NDANI YA YANGA IPO HIVI
ISHU ya hisa na umiliki ndani ya Yanga ipo hivi
ISHU ya hisa na umiliki ndani ya Yanga ipo hivi
Karata moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata zako vizuri una maana kubwa sana kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni uliopo Meridianbet. Unapoanza kuucheza hakikisha karata zako umezichanga vizuri na kisha subiri mchezeshaji ajichanganye umpune. Jisajili Meridianbet uwe wa kwanza kufurahia promosheni na bonasi za…
Kupitia Meridianbet utakutana na mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoelezea kisa cha Farao aliyelaaniwa kwa matendo yake, unachopaswa kufanya ni kuwa mkali kwa kucheza vizuri ni njia sahihi kukupa ushindi mkubwa. Jisajili Meridianbet ufurahie mchezo huu. The Cursed King ni mchezo wa kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zna mistari 19 ya malipo. Ili kupata…
JONAS Mkude kiungo wa Yanga alipeta kwenye mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns Uwanja wa Mkapa kwa kuanza kikosi cha kwanza na alikomba dakika 90 ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kwenye anga la kimataifa kuanza mwanzo mwisho
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 nchini Misri. Tayari kikosi cha Simba kimewasili Misri ilikuwa mapema Aprili 3 ambapo walipata muda wa kufanya mazoezi mepesi na Aprili 4 wanatarajiwa kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo. Ipo wazi…
Matunda ni lishe muhimu katika mwili wa binadamu lakini kwa upande wa kasino ni kiungo kinachotumika kutoa ushindi kwa wachezaji wa ,michezo ya kasino ya mtandaoni, kutokana na urahisi wake wa kucheza 5 Hot Strike umekuwa ni mchezo wa kasino pendwa kwakuwa unatoa washindi kila dakika. Jisajili Meridianbet ucheze mchezo huu. 5 Hot Strike…
MSAFARA wa Simba umewasili Misri tayari kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 Uwanja wa Taifa wa Cairo na mshindi wa jumla atatinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba kàtika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao…
RAIS wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Injinia Hersi Said amebainisha kuwa timu ya Yanga inagusa maisha ya kila Mtanzania. “February 11, mwaka huu, Yanga ilitimiza miaka 89 tangu kuanzishwa kwake. Ni Klabu kongwe zaidi ya mpira wa miguu Tanzania na ilishiriki kwenye harakati za Uhuru wa Taifa letu. Ni…
MAPEMA kabisa Simba ilituma watu wake nchini Misri kuandaa mazingira mazuri kwa timu kufikia na sehemu ya kufanyia mazoezi kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 nchini Cairo
MIAKA ya 2016 Mwenyekiti wetu Yusuph Manji alifanya kazi kubwa kwa ajili ya kuona kwamba timu inafika mbali, kwa kazi aliyofanya kutokana na matatizo aliyofanya yalifanya kuwe na maafa makubwa ndani ya Yanga kulikuwa na mifumo mingi iliyokuwa inafanyika lakini bado kukawa kuna ugumu kidogo na watu wakawa wanachangia kwenye timu ila haikuwa vizuri kwa…
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa hatua ya robo fainali Simba wamekwea pipa kuelekea Misri kusaka ushindi dhidi ya Al Ahly. Huo ni mchezo wa robo fainali wa pili unaokweda kukamilisha dakika 180 katika Ligi ya Mabingwa Afrika na mshindi wa jumla anakwenda kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika….
NI raundi 16 kwa sasa imefika kwenye ushindani wa mashindano ya CRDB Federation Cup iliyobadilishwa jina rasmi Aprili 2 2024 baada ya mdamini mkuu kupatikana. Ikumbukwe kwamba awali mashindano hayo yalikuwa yanaitwa Azam Sports Federation. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi hii hapa ratiba kamili itakavyokuwa kwa kila…
MTAMBO wa mabao ndani ya Yanga kwenye anga za kimataifa Pacome ni miongoni mwa wale ambao wapo kwenye kikosi kilicho tayari kupambania nembo ya timu Aprili 5 2024 mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns
Nchi ya Misri ni miongoni mwa mataifa yenye mchango mkubwa katika historia ya mambo ya kale, unapozungumzia historia ya Pyramids, Maandishi ya kale na historian a visa vya kidini. Kiufupi Misri imebeba utalii wa kidunia. Kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kuna mchezo bomba wa kasino unaitwa Book of Egypt unaelezea mambo…
HABARI yenye mshtuko kwenye kiwanda cha Michezo na Burudani ni kutangulia mbele za haki Adel Zraine aliyewahi kuwa kocha wa viungo ndani ya kikosi cha Simba. Kabla ya kufikwa na umauti wake alikuwa anafanya kazi na Klabu ya APR FC ya Rwanda iliyoshiriki Mapinduzi 2024. Taarifa kutoka Klabu ya APR FC zimesema: “Ni huzuni kubwa…
MSAFARA wa Yanga ukiwa na jumla ya wachezaji 26 miongoni mwao akiwemo Mudhathir Yahya, Jonas Mkude, Clement Mzize, Pacome, Yao umewasili salama nchini Afrika Kusini. Timu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi imepokelewa na balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James Bwanà. Aprili 5 2024 Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi katika mchezo…
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya CRDB, wamesaini mkataba wa udhamini wa Kombe la Shirikisho ambapo awali lilikuwa linaitwa Azam Sports Federation sasa litakuwa ni CRDB Bank Federation Cup wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 3 kwa miaka mitatu na nusu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),…