
FAINALI YA MOTO: PSG NA INTER MILAN KITAWAKA KESHO ALLIANZ ARENA!
Msimu wa UEFA unaendea ukingoni ambapo kesho tutashuhudia Fainali ya wababe wawili kutoka Ufaransa na Italia, yaani ni PSG vs Inter Milan, huku wewe ukiwa na nafasi ya kuchukua pesa kwa kubashiri mechi hii itakayopigwa pale Ujerumani dimba la Allianz Arena. Inter Milan msimu huu walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuchukua Scudetto lakini walishindwa…