KIKOSI CHA SIMBA NDANI YA DAR

WAWAKILISHI wa Tanzania Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika tayari wapo ndani ya jiji la Dar. Timu hiyo ilikuwa nchini Misri kwa ajili ya mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wa pili ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri ambao ni mabingwa watetezi. Ipo wazi kuwa timu zote…

Read More

AZIZ KI: SINA MATARAJIO YA KUONDOKA YANGA KWA SASA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI baada ya timu yake kutolewa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns kwa mikwaju ya penalti hatua ya robo fainali, ameandika katika ukurasa wake wa Instagram ujumbe wa kuwashukuru mashabiki kwa kuwa nao pamoja kwenye safari ya michuano hiyo msimu huu 2023/2024. KI ameandika; “Tumeonyesha…

Read More

YANGA WANAKITU, AZIZ KI ANASEPA

MWAMBA Aziz KI kafanya kazi kubwa ndani ya Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns dakika zote 180 wakitoshana nguvu uwanjani na kuondolewa kwa changamoto za penalti. Yanga imeonyesha ukomavu mkubwa katika mechi zote mbili hakika wanastahili pongezi kwa kazi kubwa mbele ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye changamoto za penalti…

Read More

HAPA NDIPO SIMBA WALIPOFELI KWA MARA NYINGINE TENA

KUGOTEA hatua ya robo fainali kwa Simba msimu wa 2023/24 ni kufeli kwa mara nyingine tena kwa kuwa hawajajifunza wakati wote walipofika hatua ya robo fainali. Wakati wote nilikuwa nikibainisha kuwa haina maana kwamba Simba huwa wanakuwa hawana nafasi hapana wanashindwa namna ya kumaliza kazi nyumbani. Kufeli kwa Simba dhidi ya Al Ahly hesabu ziliharibikia…

Read More

Deuces Wild Poker Kasino ya Kifalme

Karata moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata zako vizuri una maana kubwa sana kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni uliopo Meridianbet. Unapoanza kuucheza hakikisha karata zako umezichanga vizuri na kisha subiri mchezeshaji ajichanganye umpune. Jisajili Meridianbet uwe wa kwanza kufurahia promosheni na bonasi za…

Read More

The Cursed King Kasino Bomba Ndani ya Meridianbet

Kupitia Meridianbet utakutana na mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoelezea kisa cha Farao aliyelaaniwa kwa matendo yake, unachopaswa kufanya ni kuwa mkali kwa kucheza vizuri ni njia sahihi kukupa ushindi mkubwa. Jisajili Meridianbet ufurahie mchezo huu. The Cursed King ni mchezo wa kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zna mistari 19 ya malipo. Ili kupata…

Read More

SIMBA KUWAVAA WAARABU KWA HESABU HIZI

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 nchini Misri. Tayari kikosi cha Simba kimewasili Misri ilikuwa mapema Aprili 3 ambapo walipata muda wa kufanya mazoezi mepesi na Aprili 4 wanatarajiwa kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo. Ipo wazi…

Read More

SIMBA YAWASILI NDANI YA MISRI

MSAFARA wa Simba umewasili Misri tayari kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 Uwanja wa Taifa wa Cairo na mshindi wa jumla atatinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba kàtika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao…

Read More

YANGA: TUNAGUSA MAISHA YA KILA MTANZANIA

RAIS wa Klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Injinia Hersi Said amebainisha kuwa timu ya Yanga inagusa maisha ya kila Mtanzania. “February 11, mwaka huu, Yanga ilitimiza miaka 89 tangu kuanzishwa kwake. Ni Klabu kongwe zaidi ya mpira wa miguu Tanzania na ilishiriki kwenye harakati za Uhuru wa Taifa letu. Ni…

Read More

SIMBA YAWAFUATA AL AHLY MISRI KAMILI

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa hatua ya robo fainali Simba wamekwea pipa kuelekea Misri kusaka ushindi dhidi ya Al Ahly. Huo ni mchezo wa robo fainali wa pili unaokweda kukamilisha dakika 180 katika Ligi ya Mabingwa Afrika na mshindi wa jumla anakwenda kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika….

Read More

RATIBA YA CRDB FEDERATION CUP IPO HIVI

NI raundi 16 kwa sasa imefika kwenye ushindani wa mashindano ya CRDB Federation Cup iliyobadilishwa jina rasmi Aprili 2 2024 baada ya mdamini mkuu kupatikana. Ikumbukwe kwamba awali mashindano hayo yalikuwa yanaitwa Azam Sports Federation. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi hii hapa ratiba kamili itakavyokuwa kwa kila…

Read More