
MWAMBA HUYU HAPA KABEBA TUZO MEI
KATIKA mechi 7 ambazo ni dakika 630 Koch Mkuu wa Simba Juma Mgunda alikomba jumla ya pointi 19 ndani ya uwanja. Ni ushindi katika mechi sita na aliambulia sare moja ugenini ilikuwa Uwanja wa Kaitaba alipokomba pointi moja. Mechi zake ilikuwa ni Simba 2-0 Mtibwa Sugar, Simba 2-0 Tabora United, Azam FC 0-3 Simba, Simba…