
AZIZ KI UJANJA WAKE UPO HAPA BONGO
AZIZ Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga ujanja wake ndani ya uwanja ni mguu wa kushoto ambao ametumia kufunga mabao mengi zaidi. Ipo wazi kuwa msimu wa 2023/24 nyota huyo ni namba moja kwa utupiaji akiwa katupia mabao 21 baada ya msimu kugota mwisho akiwa ni mfungaji bora. Ujanja wake akiwa uwanjani ni kwenye mguu wa…