
SIMBA SC WAANZA NI MWENDO WA MATIZI, KIBU, CAMARA NDANI
SIMBA SC chini ya Kocha Mkuu Fadlu Davids wanaendelea na matizi ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26. Katika kambi iliyopo Misri wachezaji wapya na wale waliokuwa katika kikosi cha Simba SC iliyogotea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi wapo kambini. Miongoni mwa wachezaji waliopo ndani ya kikosi cha Simba SC ni Kibu…