
TANZANIA PRISONS 0-5 YANGA SC, PACOME KATUPIA MBILI
UBAO wa Uwanja wa Sokoine, Mbeya ikiwa ni mchezo wa ligi mzunguko wa pili Yanga SC wamekomba pointi tatu muhimu ikiwa ugenini na kuendelea kujikita kileleni. Ubao umesoma Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC, mabao ya Mudathir Yahya dakika ya 31, Clatous Chama dakika ya 35, Pacome dakika ya 56 na 76 huku Israel Mwenda akipachika…