
YANGA WAIPA TANO SPORTPESA KWA KUWATOA KWENYE MAGUMU
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said ameweka wazi kuwa ndani ya miaka saba wakiwa na udhamini wa SportPesa wamefanya mengi ambayo yanaingia katika sehemu ya mafanikio. Rais huyo amebainisha kuwa kampuni ya SportPesa imewatoa Yanga kwenye wakati mgumu ambapo hawakuwa na mdhamini yoyote hivyo wakafanya mengi makubwa ndani ya miaka mitano na mkataba ulipoisha kampuni…