
CHAMA AWAPA THANK YOU SIMBA KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTA!
Kiungo mpya wa ‘Wananchi’ Yanga SC, Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama kawaaga rasmi ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba SC, kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram. Chama kaandika hivi: “Miaka sita iliyopita nilikuja kama mgeni. Mlinipa malengo na changamoto za kuwa bora zaidi. Sina la ziada zaidi ya heshima kwa kila mmoja wenu kwa upendo…