
GEITA GOLD YAIPIGIA HESABU SIMBA
KOCHA Mkuu wa Geita Gold, Dennis Kitambi ameweka wazi kuwa anatambua mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakuwa na ushindani mkubwa lakini wapo tayari kusaka pointi tatu muhimu. Mchezo huo ni mzunguko wa pili ambapo kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao ulisoma Geita Gold 0-1 Simba. Simba…