FOUNTAIN GATE PRINCESS KUSHIRIKI NGAO YA JAMII
UONGOZI wa Fountain Gate Princess umeweka wazi kuwa wamepata fursa nyingine kwa tmu hiyo kushiriki kwenye Ngao ya Jamii kwa Wanawake. Taarifa iliyotolewa imeeleza namna hii:”Tunapenda kuwafahamisha rasmi kuwa Timu yetu ya Wanawake Fountain Gate Princess inatarajia kushiriki Ngao ya Jamii Kwa Wanawake ambayo ni ishara ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi ya Wanawake…