
MKALI ALIYEWATESA WAARABU IMEISHA UNYAMANI
KONDE Boy ambaye alirejea kwa mara nyingine ndani ya Simba ni rasmi hatakuwa ndani ya kikosi hico akiungana na nyota wengine walioanza kukutana na Thank You. Ni Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza ndani ya Simba kitaifa na kimataifa Juni 19 2024 rasmi uongozi wa Simba ulibainisha kwamba hataongezewa…