
PANGA LINAPITA YANGA, AZIZ KI, LOMALISA, MKUDE KUSEPA? ISHU IPO HIVI
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga wapo kwenye hesabu za kukamilisha usajili wa wachezaji waliopo kwenye timu hiyo ambao mikataba yao inagota mwisho na wapo wachezaji ambao wataondoka kutokana na kupata ofa na wengine kushindwa kuwa kwenye ubora wao.