
AZAM FC YAMUONGEZEA MKATABA KIUNGO WA KAZI
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamemuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiungo wa kazi Tepsi Evance ambaye ni moja ya wazawa wenye vipaji vikubwa kwenye kucheza na mpira. Tepsi ambaye alikuwa kwa mkopo ndani ya KMC msimu wa 2023/24 bado atabaki kuwa mali ya Azam FC mpaka 2026 baada ya kuogeza kandarasi ya mwaka mmoja. Kiungo…