SIMBA WAPO KAMILI GADO KWA KAZI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wapo kamili gado kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuanza kati ya Agosti. Ipo wazi kuwa msimu wa 2024/25 Simba iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo huku nafasi ya pili ikiwa mikononi mwa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo. Kwa sasa Simba…

Read More

SIMBA INASUKWA UPYA HUKO

MWAMBA Fadlu Davids Kocha Mkuu wa Simba ana kibarua cha kusuka upya kikosi hicho kuelekea msimu wa 2024/25 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani kitaifa na kimataifa. Simba kwenye Kombe la Shirikisho Afrika itasubiri mshindi wa mchezo kati ya Uhamisho dhidi ya Libya kwa kuwa haitaanzia hatua ya awali. Mbali na Simba kupeperusha bendera ya Tanzania…

Read More

MWAMBA ABUYA KWENYE ANGA ZA KIMATAIFA YANGA

MWAMBA wa kazi Duke Abuya raia wa Kenya ambaye ni kiungo aliyekuwa ndani ya Singida Black Stars atakuwa kwenye anga la kimataifa na uzi wa kijani na njano katika kikosi cha Yanga. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inafanya maboresho makubwa kuelekea msimu mpya ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kitaifa na kimataifa. Abuya…

Read More

GUEDE KUTOKA YANGA ATAONGEZA KITU SINGIDA BLAC STARS

MABOSI wa Singida Black Stars hawataki utani ambapo kwenye safu ya ushambuliaji wamemuongeza mtambo wa mabao  Joseph Guede ambaye msimu uliopita wa 2023/24 alikuwa ndani ya Yanga. Utambulisho wake ndani ya Singida Black Stars utaongeza kitu kwenye eneo la ushambuliaji ukizingatia kwamba msimu mpya wa 2024/25 unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ikumbukwe kwamba Guede raia…

Read More

YANGA YATAMBIA KIKOSI BORA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa una timu bora kwa sasa kutokana na usajili bora waliofanya kwa wachezaji wazuri na kuhakikisha wachezaji wenye uwezo wapo ndani ya timu. Ipo wazi kuwa Yanga msimu wa 2023/24 walitwaa taji la Ligi Kuu Bara, CRDB Federation Cup na iligotea hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ali…

Read More

KAZI INAENDELEA HUKO MISRI, BENCHI LA UFUNDI LAWASILI

KUELEKEA msimu wa 2024/25 wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa tayari benchi la ufundi limewasili kambini kuendelea na maandalizi. Ipo wazi kuwa kwa sasa timu zote Bongo zipo kwenye maandalizi kuelekea msimu mpya unaosubiriwa kwa shauku kubwa, Yanga ambao ni mabingwa watetezi na Azam FC hizi zipo Bongo huku Coastal Union ikiwa…

Read More

MWAMBA JOHN BOCCO KUKIWASHA HUKU

MTAMBO wa mabao ndani ya uwanja John Bocco bado yupo sana uwanjani ambapo kwa msimu wa 2024/25 atakuwa ndani ya kikosi cha JKT Tanzania. Ipo wazi kwamba Bocco ni mshambuliaji bora wa muda wote ndani ya Bongo akiwa amefunga zaidi ya mabao 100 kwenye ligi alianza kucheka na nyavu akiwa na Azam FC, Simba na…

Read More

KIPA NAMBA MOJA SINGIDA BLACK STARS HUYU HAPA

KIPA wa mpira Mohammed Kamara anatarajia kuwasili nchini leo Julai 10 2024 kwa ajili ya kukamilisha dili la kujiunga na Klabu ya Singida Black Stars ambayo inashiriki Ligi Kuu Bara. Mbali na kushiriki Ligi Kuu Bara Singida inashiriki mashindano ya Kagame na Julai 9 2024 ilikuwa uwanjani kusaka ushindi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam…

Read More

MATAJIRI WA DAR WAENDELEZA KAZI ZANZIBAR

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameweka kambi Zanzibar ikiwa ni mwendelezo wa maandalizi ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika. Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo ina kibarua cha kupeperusha bendera kwenye anga la kimataifa jambo ambalo linafanyiwa kazi kwa umakini ili kupata matokeo mazuri kitaifa na…

Read More