Leo Ni Siku ya Kupiga Maokoto na Meridianbet

Jumamosi ya kibabe imefika na wewe unaweza kuwa mbabe kwa kutusua na Meridianbet endapo utatengeneza jamvi lako la maana kwani kua mechi kibao leo za kukufanya tajiri. Ingia na ubeti sasa Klabu ya Manchester United baada ya kupoteza mchezo wake wa kirafiki uliopita, leo atakuwa ugenini dhidi ya Glagow Rangers ya Scotland ambao walimaliza nafasi…

Read More

KARIAKOO DABI HII HAPA, RATIBA NGAO YA JAMII

BURUDANI ya Ligi Kuu Bara ipo njinai kurejea baada ya ratiba ya mechi za ufunguzi kutolewa hivyo ni muda wa kila mmoja kutambua kipi ambacho atavuna kwa msimu mpya wa 2024/25. Ni Agosti 8 2024 ambapo wababe wawili  Simba na Yanga watakutana hatua ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkapa. Ikumbukwe kwamba…

Read More

SIMBA KAZI IPO HUKO, KOCHA KUANZA NA HILI

FADLU Davids Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kuwaandaa wachezaji kuwa tayari kwa ushindi kwenye mechi zao za ushindani zijazo. Kuelekea msimu wa 2024/25 Simba imeweka kambi Misri ikiwa na wachezaji kama Mzamiru Yassin, Zimbwe, Ally Salim na ligi inatarajiwa kuanza Agosti 16 2024 huku mabingwa wakiwa ni Yanga…

Read More

YANGA HAO AFRIKA KUSINI

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba utakwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mwendelezo wa maandalizi ya msimu wa 2024/25 wakiwa wamealikwa kutokana na thamani ya timu hiyo kupanda. Chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi, Yanga msimu wa 2023/24 iliweka kambi Bongo na ikafanikiwa kutwaa taji la ligi ikimaliza msimu ikiwa na pointi 80 baada ya kucheza…

Read More

VIDEO: LIVE ISHU YA YANGA NA SAKATA LA UONGOZI WA MADARAKANI

UONGOZI wa Yanga umefungukia ishu ya sakata la kesi yao mahakamani pamoja na mpango kazi kuhusu mzee Magoma huku wakibainisha kwamba kila kitu kipo sawa kwa sasa na uongozi bado una mamlaka ya kuendelea na kazi kupitia kwa Mwanasheria Patric Saimon huku wakibainisha kuwa kuna masuala ambayo hayazuiliwi kusikilizwa kwenye Mahakama yanayouhusu mpira ikiwa ni…

Read More

YANGA KUMALIZANA NA MSHAMBULIAJI HUYU

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kuna wachezaji ambao watatambulishwa ndani ya kikosi hicho wakiwa na uwezo mkubwa jambo litakaloongeza nguvu kuelekea msimu wa 2024/25. Yanga inanolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi msimu wa 2023/24 safu ya ushambuliaji ilifunga jumla ya mabao 71 na kinara alikuwa ni Aziz Ki aliyefunga mabao 21. Kwa upande wa maingizo…

Read More

SIMBA KAZI INAENDELEA, MAELEKEZO KUFUATWA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba kazi inaendelea kwa kuendelea na mazoezi kambini kuelekea msimu wa 2024/25. Msimu wa 2023/24 Simba iligotea nafasi ya tatu ikiwa na pointi 69 baada ya kucheza mechi 30 ina kibarua cha kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Beki wa kati Che Malone amesema kuwa…

Read More

MASHINE ZAZIDI KUTUA YANGA

MASHINE za kazi zimezidi kutua ndani ya Yanga ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa mwanzo mwisho. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya kutwaa taji la ligi kwa msimu wa 2023/24 na walimaliza wakiwa namba moja kwenye msimamo na pointi 80….

Read More

MIFUGO FC MABINGWA LIGI 2024

TIMU ya Mifugo FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Ngende Cup 2024, kwa ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mungurumo FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa michezo wa Halmashauri ya Wilaya Liwale mkoani Lindi. Mchezo huo ambao ulikuwa na mashabiki wengi kutoka viunga vya Liwale uliochezwa Wikiendi hii ulianza kwa kasi kwa kila timu…

Read More

SEN KUJENGA UWANJA MWINGINE SIMBA

MPANGO mkubwa wa Simba kwa sasa ni kuendelea kuwa bora kwa kuboresha mazingira ya wachezaji ikiwa ni pamoja na sehemu ya kufanyia mazoezi. Julai 14 2024 Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji alikutana na kufanya mazungumzo na Simba Executive Network (SEN). SEN ni mtandao wa mashabiki wa Simba ambao huchangia ada ya…

Read More