
YANGA YAZINDUA JEZI MPYA ZITAKAZOTUMIKA KATIKA MSIMU UJAO
Klabu ya Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025 Yanga wametambulisha rasmi jezi zao za nyumbani, ugenini na jezi mbadapa (third kit) watakazotumia katika msimu ujao wa mashindano, jezi hizo zitauzwa Tsh 45,000.