
KAZI YA SIMBA MISRI IMEKAMILIKA, ZAWADI INARUDI BONGO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wamekamilisha kambi yao nchini Misri kwa mafanikio wanarejea kuwapa furaha mashabiki wao. Agosti 3 itakuwa ni kilele cha Simba Day na tayari wamefanya uzinduzi wa uzi mpya ilikuwa Julai 24 2024, kwenye hifadhi za Mikumi, Morogoro. Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni mechi tatu za kirafiki ilicheza…