
MASTAA HAWA WALIVAA KITAMBAA CHA UNAHODHA MCHEZO MMOJA
KWENYE mchezo wa mwisho kwa Simba SC msimu wa 2024/25 wakiwa Uwanja wa nyumbani, KMC Complex, Juni 22 2025 kitambaa cha unahodha kilitembea katika mikono ya kutosha wachezaji wakibadilishana kutokana na sababu mbalimbali. Ikumbukwe kwamba ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids nahodha mkuu ni Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye…