
YANGA SC WALIPANIA KUIFUNGA SIMBA SC
Dickson Job nahodha msaidizi wa Yanga SC amesema kuwa walikuwa wanahitaji kuifunga Simba SC kwa namna yoyote ile ili kutwaa ubingwa wa msimu wa 2024/25 jambo ambalo lilifanikiwa Juni 25 2025 kwenye mchezo wa mzunguko wa pili. Simba SC ndani ya msimu wa 2024/25 imepishana na mataji yote iliyokuwa inapambania. Taji la CRDB Federation Cup…