
REKODI NA KIKOSI CHA SIMBA V KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Simba kitakachoanza dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba hiki hapa:_ Manula ambaye hajafungwa kwenye mechi 10 akiwa ameyeyusha dakika 1306 leo ana kazi ya kuendelea kulinda rekodi yake. Kapombe mchezo uliopita alitoa pasi moja ya bao Zimbwe Jr ana pasi nne za mabao Henock Kaoute nyota pekee mwenye kadi nyekundu ndani ya…