
KIUNGO MGUMU AREJEA KIKOSI YANGA
KHALID Aucho kiungo wa Yanga amerejea uwanja wa mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda alipopata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Ilikuwa ni Aprili 7 2025 Aucho aliumia alishindwa kukomba dakika 90 aliishia dakika ya 45 ambapo nafasi yake ilichukuliwa na kiungo Mudathir Yahya. Kwenye mchezo huo…