
VIDEO: JEMEDARI AFUNGUKIA ISHU YA CAS YANGA/ TIMU ZINAZOPENDELEWA
MCHAMBUZI wa michezo Bongo Jemedari amefungukia kuhusu ishu ya CAS Yanga SC na madai kuhusu kupendelewa kwa timu.
MCHAMBUZI wa michezo Bongo Jemedari amefungukia kuhusu ishu ya CAS Yanga SC na madai kuhusu kupendelewa kwa timu.
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa Kariakoo Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa Juni 15 2025. Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa Machi 8 2025 ukayeyuka baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TBLB) kubainisha kuwa mchezo huo namba 184 umeahirishwa na utapagiwa tarehe nyingine. Yanga SC ilibainisha kuwa mchezo huo…
DICKSON Job beki chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miloud Hamdi anatajwa kuwa ameitwa mezani ili kujadili suala la kuongeza mkataba wake mpya. Beki huyo amekuwa kwenye ubora wake kwenye mechi ambazo anacheza jambo ambalo linaongeza thamani yake kuzidi kupanda. Taarifa zinaeleza kuwa mara baada ya Muungano Cup 2025 kugota mwisho na Yanga SC kutwaa…
FABRINCE Ngoma kiungo mshambuliaji wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema kuwa siri ya kufunga bao la ushindi dhidi ya JKT Tanzania ni kutimiza majukumu ya timu kwenye msako wa pointi tatu. Mei 2 2025 Simba ilikuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Mashujaa FC ambapo walipata ushindi wa mabao 2-1 na…
Mchezo namba 184 (YANGA SC V s SIMBA SC) ulioghairishwa kuchezwa tarehe 8 Machi, 2025 sasa utachezwa tarehe Juni 15, 2025 siku ya Jumapili saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa.
Hatimaye ile siku ikafika ya ndoto kutimia kwa kijana Mathew Ngomba kutoka mitaa ya Tabata Shule ambaye aliweza kujivutia mkwanja wa maana yaani Milioni Hamsini na saba na elfu tisini na tisa na mia tatu themanini na tatu pointi tano nne (57,099,383.54). Kijana huyu Mjasiriamali alitumia shilingi 30000 pekee kama dau lake kwenye mechi 13…
Simba Wameendelea kuvila viporo bila ndimu baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo na kusogea mpaka alama 7 nyuma ya vinara Yanga Sc. FT: JKT Tanzania 0-1 Simba Sc ⚽ 45+6’ Ngoma MSIMAMO NBCPL 🔝4️⃣ 🥇 Yanga Sc — mechi 26 — pointi 70 🥈…
YANGA SC wamebainisha kuwa msimamo wao kuhusu mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC uliotarajiwa kuchezwa Machi 8 2025 upo palepale. Yanga imebainisha kuwa msimamo wao upo palepale kuhusu mchezo huo licha ya CAS kutoa majibu ya kesi yao kuhusu kesi ya mchezo huo. Taarifa iliyotolewa na Yanga SC Mei 5 2025 imeeleza namna…
NYOTA wa Yanga SC Pacome Zouzoua inaelezwa kuwa ameitwa na mabosi wa timu hiyo ili kujadili kuhusu kuongeza mkataba kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Pacome ni chaguo la kwanza la Hamdi ambapo kwenye msimu wa 2024/25 kacheza jumla ya mechi 23 Pacome kahusika kwenye mabao 18 akiwa kafunga…
JEAN Ahoua kiungo mshambuliaji namba moja kuhusika katika mabao ndani ya kikosi cha Simba SC, mabao 12 na pasi 7 za mabao akiwa ni mkali wa mabao ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Kahusika katika jumla ya mabao 19 kati ya 54 yaliyofungwa na Simba SC iliyo nafasi ya pili na…
Meridianbet inayo furaha kubwa kutangaza uzinduzi wa mchezo mpya wa slot unaochukua wachezaji katika safari ya kimungu isiyosahaulika. “Gates of Olimpia”, kazi mpya ya kipekee kutoka kwa Expanse Studios, sasa inapatikana kwa wateja wa Meridianbet pekee. Ikiwa katika dunia ya hadithi za Kigiriki, Gates of Olimpia huleta uhalisia wa miungu wa kale kupitia picha za…
Siku ya leo unaweza ukavuna zaidi ya mamilioni na Meridianbet kwa dau lako dogo tuu. Timu nyingi duniani leo hii zenye odds za kishua zinachezwa. Unasubiri nini kubashiri na Meridianbet? Ligi kuu ya Hispania LALIGA kuendelea leo hii ambapo Real Madrid atamkribisha kwake Celta Vigo ambao wanashika nafasi ya 7 huku vijana wa Carlo wakiwa…
Jumamosi ya leo mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. SERIE A ni ya moto sana Parma Calcio ataumana dhidi ya Como 1907 huku mtanange wa mwisho walipokutana ukionesha kuwa walitoa…
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, Yanga SC tofauti yao kwenye pointi na Simba SC ni pointi 10. Ikumbukwe kwamba wababe hawa wawili hawajakutana mzunguko wa pili baada ya mchezo wao kuyeyuka Machi 8 2025 unatarajiwa kupangiwa tarehe na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Sababu ambazo zilisababisha…
SIMBA SC ni timu namba moja kupata penalti ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa imepata jumla ya penalti 12 msimu wa 2024/25 katika Ligi Kuu Tanzania Bara. Penalti mbili ambazo wamezipata dhidi ya Mashujaa FC Mei 2 2025 zote zikifungwa na Leonel Ateba katika ushindi wa mabao 2-1 Mashujaa FC zinamfanya Ateba kufikisha jumla ya…
Kama unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika moja bila kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Wild 27 ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni iliyoandaliwa na mtayarishaji wa michezo ya kasino Fazi . Kwenye mchezo huu wa sloti, kwa msaada wa matunda matamu,…
Ni Ijumaa ya kwanza ya mwezi Mei ambapo mwezi huu umekuja kivingine ndani ya Meridianbet. Unajua kwanini?, Ni kwasababu huu ndio mwezi ambao ligi zinaenda kuisha hivyo fanya kubashiri mapema uibuke bingwa kabla ligi hazijaisha. SAUDI ARABIA ligi kuu itaendelea kwa michezo kadhaa ambapo Al Ettifaq ataumana dhidi ya Al Khaleej ambapo tofauti ya pointi…