MASHUJAA FC SIO KINYONGE KUIKABILI SIMBA SC

BENCHI la ufundi la Mashujaa FC limebainisha kuwa limefanya maandalizi mazuri kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili dhidi ya Simba SC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex saa 10:00 jioni. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 0-1 Simba, Steven Mukwala…

Read More

BEKI LA KAZI LIMEREJEA KUWAKABILI MASHUJAA FC

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Che Malone amerejea na huenda akawa sehemu ya wachezaji watakaokuwa kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Ipo wazi kwamba beki huyo alikuwa nje kwa muda mrefu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa MzizmaDabi uliochezwa Uwanja…

Read More

MFUNGAJI BORA MUUNGANO CUP HUYU HAPA

MAXI Nzengeli ni mfungaji bora Muungano Cup 2025 akifunga jumla ya mabao mawili kwenye mechi tatu ambazo Yanga SC imecheza. Nzengeli alifungua ukurasa wa mabao katika mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Zimamoto ilikuwa Aprili 29 2025 alipopachika bao dakika ya 29. Kwenye mchezo huo baada ya dakika 90 ubao wa Gombani ulisoma…

Read More

SIMBA KWENYE MSAKO WA POINTI TATU ZA MASHUJAA

SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba SC amesema kuwa wanatambua mpinzani wao Mashujaa FC yupo imara wataingia kucheza kama fainali ili kufikia malengo yakupata pointi tatu. Ni mchezo wa mzunguko wa pili kati ya Simba SC dhidi ya Mashujaa FC unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex ikiwa ni mzunguko wa pili. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo…

Read More

YANGA MABINGWA WA KOMBE LA MUUNGANO

ZANZIBAR-Young Africans Sports Club (Yanga SC) ya jijini Dar es Salaam imetwaa taji la saba la Michuano ya Kombe la Muungano. Ni baada ya Mei 1, 2025 katika dimba la Gombani lililopo Kisiwani Pemba kuwachapa Maafande wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) kwa bao 1-0. Bao pekee la Maxi Mpia Nzengeli lilipatikana dakika ya…

Read More

YANGA YAANGUKIA PUA CAS, KARIAKOO DERBY IPO PALE PALE

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetupa rufani ya klabu ya Yanga yenye kumbukumbu namba CAS 2025/A/11298 ambayo klabu hiyo iliifungua dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhusiana na mchezo wa Ligi Kuu wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga Sc dhidi ya Simba Sc ulioahirishwa. Taarifa ya Shirikisho la…

Read More

YANGA SC KUSHUSHA FULL MUZIKI FAINALI MUUNGANO CUP

YANGA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi Mei Mosi 2025 inatarajiwa kuwa na kibarua kwenye mchezo wa fainali Muungano Cup dhidi ya JKU SC Uwanja wa Gombani, Pemba. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:15 usiku ambapo Yanga SC imebainisha kuwa itaongeza uzito kwenye mchezo huo hasa katika eneo la wachezaji ambapo huenda wakashusha full…

Read More

SIMBA SC KWENYE KIBARUA DHIDI YA MASHUJAA

KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids Mei 2 2025 kinatarajiwa kuwa kazini kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Mashujaa FC ambao nao wanazihitaji pointi hizo tatu muhimu. Mchezo huo ni kiporo ratiba yake imepangwa upya kwa kuwa Simba SC ilikuwa kwenye mechi za kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa…

Read More

YANGA KUSAKA TIKETI KUTINGA FAINALI

KUTOKA ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC inakibarua cha kusaka tiketi kutinga fainali Muungano Cup 2025 kwa kusaka ushindi dhidi ya Zimamoto FC saa 1:15 Uwanja wa Gombani, Pemba.  Kwenye robo fainali ya Zimamoto ilikuwa ni Aprili 25 2025 ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara….

Read More

SIMBA HESABU FAINALI, KUANZIA UGENINI

MOHAMED Hussen Zimbwe Jr nahodha wa Simba amewaomba Watanzania waendelee kuwaombe kuelekea kwenye mchezo wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mei 17 2025 wanatarajiwa kuwa ugenini nchini Morocco kumenyana na RS Berkane na Mei 25 2025 watakuwa Dar kwenye fainali ya pili itakayoamua mshindi wa jumla atakayetwaa taji hilo. Simba SC inayonolewa…

Read More

AZAM FC YAMALIZA MWENDO MUUNGANO CUP

JKU SC imewaondoa vigogo wawili katika Muungano Cup 2025 ambao wapo ndani ya nne bora Ligi Kuu Tanzania Bara. Walianza na Singida Black Stars katika hatua ya robo fainali Aprili 24 ilikuwa JKU SC 2-2 Singida Black Stars katika penalti ilikuwa JKU SC 6-5 Singida Black Stars. Aprili 28 2025, Azam FC waliumaliza mwendo kwa…

Read More

AZAM FC KWENYE DAKIKA 90 ZA KAZI GOMBANI

MATAJIRI wa Dar, Azam FC leo Aprili 28 2025 wanatarajiwa kuwa kazini kwenye mchezo wa nusu fainali Muungano Cup, visiwani Zanzibar katika dakika 90 za kazi kusaka tiketi yakutinga hatua ya fainali. Azam FC itakuwa Uwanja wa Gombani, Pemba, leo Jumatatu saa 1.15 usiku kuvaana na JKU ambayo iliwafungashia virago Singida Black Stars hatua ya…

Read More