
BIASHARA YAPUNGUZIWA KASI,MPOLE ATAKATA
WAKATI kasi ya Biashara United ikizidi kupunguzwa kwenye spidi ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2022/23 mmoja ya watupiaji alikuwa ni George Mpole. Kwenye mchezo uliochezwa jana, Uwanja wa Nyankumbu, ubao ulisoma Geita Gold 2-0 Biashara United ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Mabao ya Geita Gold yalipachikwa na Mpole…