Simba Yakabiliana na Azam FC Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026
Michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inaendelea kutimua vumbi leo Januari 08, 2026 kwa mchezo mmoja wa nusu fainali ya kwanza kati ya Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc dhidi ya Azam Fc kwenye Dabi ya Mzizima. Simba Sc itautumia mchezo huo utakaopigwa katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar majira ya saa 2:15 usiku kujiuliza…