Times FM kutangaza mubashara Kagame Cup

Msimu mpya wa kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo, Dar es Salaam, mechi hizo zikitarajiwa kutangazwa mubashara na kituo cha radio cha Times FM. Times FM imeingia ubia na Baraza la Soka Afrika Mashariki na Kati ( Cecafa) kutangaza mashindano hayo…

Read More

MZUNGUKO MMOJA, BONASI KUBWA UKISHIRIKI ZOMBIE APOCALYPSE

Kwenye kasino mtandaoni, msisimko ni sehemu ya mchezo. Lakini Meridianbet imechukua msisimko huo hatua moja mbele na kuleta Happy Hour Zombie Apocalypse Free Spins, tukio linalowashirikisha wachezaji wote kwenye ulimwengu wa michezo na ushindi wa bure. Kila Jumanne na Alhamisi, watumiaji wanahamasishwa kujiunga na Zombie Apocalypse, mchezo unaochanganya adrenalin na mikakati ya ushindi. Lakini hapa,…

Read More

YANGA SC KAMILI, MASHINE SITA ZAANZA KAZI

MASHINE za kazi kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/26 zimewasili ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz. Yanga SC ipo kambini Kigamboni kwa maandalizi ya msimu mpya ambapo mchezo wa ufunguzi ni Ngao ya Jamii unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Simba SC, Septemba 16 2025. Ni wachezaji…

Read More

SIMBA SC NDANI YA DAR KAMILI KWA SIMBA DAY SEPTEMBA 10

KIKOSI cha Simba SC  kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kimewasili salama Jijini Dar es Salaam alfajiri ya saa 11 kikitokea Misri ambako kiliweka kambi ya msimu ujao wa 2025/26. Baada ya kuwasili kikosi cha Simba SC kinatarajia kuanza maandalizi mapema kuelekea kwenye mchezo wa Simba Day unaotarajiwa kuchezwa Septemba 10 2025 Uwanja wa Mkapa….

Read More

KIUNGO YANGA SC KUIBUKIA SINGIDA BLACK STARS

KHALID Aucho kiungo wa zamani wa Yanga SC inatajwa kuwa amefikia makubaliano mazuri na Singida Black kuelekea msimu wa 2025/26. Kiungo huyo ni moja ya wachezaji waliowahi kufundishwa na Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa Singida Black Stars. Anajiunga na Singida Black Stars ambayo inapeperusha bendera ya Tanzania kimataifa kwenye Kombe la…

Read More