Coastal Union 0-1 Yanga SC, NBC Premier League

Coastal Union 0-1 Yanga SC, NBC Premier League ikiwa ni mchezo wa msimu wa 2025/26 uliokuwa na ushindani mkubwa uwanjani. Zilishuhudiwa dakika45 milango ikiwa ni migumu kwa timu zote mbili katika msako wa pointi tatu muhimu uwanjani. Ni Prince Dube mshambuliaji namba moja wa Yanga SC alifunga bao la ushindi katika dakika za lala salama…

Read More

Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025

Timu ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande wa wanawake zimetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa kikapu Tanzania (betPawa NBL 2025) yaliyomalizika Jumamosi kwenye uwanja wa Chinangali, mkoani Dodoma. Dar City ilitwaa kombe hilo baada ya kuichakaza Kisasa Heroes kwa pointi 80-51 wakati Fox Divas iliisambaratisha…

Read More

Mnyama apoteza mbele ya Azam FC kwa kupigwa 2-0

Simba SC 0-2 Azam FC ubao umesoma hivyo Uwanja wa Mkapa mara baada ya dakika 90 kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Wababe hawa wawili kwenye Mzizima Dabi kila mmoja alikuwa kwenye hesabu za kusaka ushindi na mwisho matajiri wa Dar, Azam FC wamewatuliza wenyeji wao. Mabao mawili yote yamefungwa kipindi cha pili ikiwa ni…

Read More

Saleh Jembe Avunja Ukimya Kuhusu Tetesi za DP World na Simba

Mchambuzi mahiri wa soka nchini, Saleh Jembe (@salehjembefacts), ametolea ufafanuzi tetesi zinazozagaa mitandaoni kuhusu kampuni ya DP World kudaiwa kuwa katika mazungumzo ya kuidhamini Klabu ya Simba SC. Amesema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote, na zimeibuliwa bila ushahidi wa aina yoyote kutoka kwa pande husika. Saleh Jembe ameongeza kuwa hadi sasa hakuna chanzo rasmi…

Read More

Win&Go Non-Stop Kuja Na Wa Ushindi Usiozimika

Katika dunia ya michezo ya kasino mtandaoni, kuna muda msisimko unakuwa kawaida lakini si kwa Meridianbet. Hapa ndipo burudani inapobadilika kuwa ushindi na huu unakuwa mtindo wa maisha. Kupitia Non-Stop Win&Go Drop, Meridianbet wanafungua milango ya fursa za fedha kwa mashabiki wote wa mchezo unaotikisa, Win&Go. Tofauti na promosheni nyingi unazozifahamu, hii imebuniwa kwa mtindo…

Read More