Kocha Walid Regragui Atangaza Kikosi cha Morocco kwa AFCON 2025
Kocha wa Timu ya Taifa ya Morocco, Walid Regragui, ametangaza kikosi chake cha mwisho kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025), ambacho kitaipa matumaini taifa hilo litakaloikaribisha michuano hiyo kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026. Katika kikosi hicho, nyota kadhaa waliotamba kwenye klabu zao barani Ulaya wamerejea, akiwemo beki wa kulia…