MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya Simba, Sadio Kanoute kesho Aprili 17 anatarajiwa kuwakosa wapinzani wao Orlando Pirates kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho. Sababu kubwa ya kiungo huyo mwenye bao moja kwenye hatua za makundi kuwakosa wapinzani hao ni mkusanyiko wa kadi tatu za njano ambazo alipata kwenye…
RELLIATS Lusajo ni mtupiaji namba moja ndani ya kikosi cha Namungo FC na aliwahi kuwa namba moja ndani ya ligi alipofikisha jumla ya mabao 10. Mara ya mwisho Lusajo kufunga ilikuwa ni Februari 25,2022 Uwanja wa Nyankumbu mbele ya Geita Gold ambapo alifunga bao lake la 10. Mamo bado hayajajibu kwake muda huu kwenye upande…
WIDDEN Daphet, Kocha wa Njombe Mji amesema kuwa walishindwa kutumia nafasi ambazo walizipata jana katika mchezo wa hatua ya 8 bora. Huo ulikuwa ni mchezo wa kwanza wa kundi A katika fainali za First League huko Mwanza. Daphet amesema:”Tulishindwa kupata ushindi kwa kuwa hatukutumia nafasi ambazo tulizipata kwenye mchezo wetu. “Lakini bado tuna nafasi katika…
BIGIRIMANA Obed kiungo wa Klabu ya Kiyovu ya Rwanda anatajwa kuwa kwenye hesabu za Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nai raia wa Tunisia. Hesabu kubwa kwa sasa ndani ya vinara hao wa ligi msimu wa 2021/22 ni kuweza kusuka kikosi makini ambacho kitafanya vizuri kwenye mechi za kimataifa. Kwenye msimamo Yanga ina pointi 51…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewapiga mkwara mastaa wake kwa kuwataka kutofikiria mchezo wa Dabi ya Kariakoo na badala yake kuhamisha akili zao dhidi ya Namungo FC. Yanga kabla ya kuvaana dhidi ya Simba Aprili 30, mwaka huu katika Dabi ya Kariakoo watacheza dhidi ya Namungo Aprili 24, katika mchezo wa ligi kwenye…
Ni hatua ya robo fainali kunako mashindano ya Afrika wakati barani Ulaya, ni mitanange ya nusu fainali ya Kombe la FA. Mkeka wako upo hivi?? Bournemouth uso kwa uso na Middlesbrough Ijumaa hii. Championship inamvua ya magoli, soka linachezwa kwenye hali ya juu sana ikiwa ni mchakato wa kuitafuta tiketi ya kucheza EPL msimu…
UONGOZI wa Simba SC, umesema hivi sasa nguvu zao wamezielekeza katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates, na siyo kwa Yanga SC. Simba hivi sasa wapo kambini wakijiandaa kupambana na Orlando, mchezo wa kwanza utachezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Aprili 24, Afrika Kusini….
AFANDE huyu ashindwa kujizuia ampa kazi maalumu Fiston Mayele mshambuliaji wa Yanga kuhusu kuendelea kufunga ndani ya Ligi Kuu Bara.
SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kuwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Orlando Pirates itashinda mabao manne kwa sababu wanajua kucheza mechi zao. Simba Aprili 17,2022 itakuwa na mchezo dhidi ya Orlando Pirates ambao ni wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali.
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Chico Ushindi, tangu ajiunge na timu hiyo amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara hali inayomfanya kushindwa kuonesha ubora ambao Wanayanga wana uhitaji. Nyota huyo aliyejiunga na Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu akitokea TP Mazembe, majeraha makubwa yanayomsumbua ni kupata maumivu ya nyama za paja. Hivi karibuni,…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba ana kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Orlando Pirates, Aprili 17,2022 kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Haya hapa ni mazoezi ya nyota wa Simba kuelekea kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
MSHINDI wa droo ya mwsiho na kubwa ya Bet Bonanza ya SportPesa George Jafari Kimaro, jana asubuhi alifika katika Ofisi za SportPesa kujitambulisha rasmi na pia kuzungumza nasi kuhusiana na ushindi wake huo na kutuelezea machache kumhusu yeye. Akiongea ndani ya Ofisi za SportPesa George anasema,wakati anapokea simu ambayo ilimtaarifu kuhusiana na ushindi wake alikuwa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa nguvu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa watani wa jadi dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30,Uwanja wa Mkapa. Mchezo huo utakuwa ni wa mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 0-0 Yanga. Bumbuli…
WAKATI kesho Ijumaa michuano ya fainali ya Ligi Daraja la Kwanza hatua ya nane bora ikitarajia kuanza kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza, Kocha Mkuu wa Alliance FC, Ibrahim Makeresa amesema kikosi chake kipo tayari kwa kazi. Kocha huyo amesema kuwa kila mchezaji yupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi za hatua ya 8…