
MKWAKWANI,DAKIKA 45,COASTAL UNION 0-1 YANGA
UWANJA wa Mkwakwani Januari 16 mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Coastal Union na Yanga ni mapumziko. Yanga inakwenda vyumbani ikiwa inaongoza kwa bao 1-0 katika dakika 45 za mwanzo. Ni bao la Fiston Mayele anamtungua Mussa Mbissa dakika ya 40 akiwa ndani ya 18. Coastal Union wanacheza mpira huku Yanga wakiwa katika mbinu…