
KITAWAKA LEO SPURS V UNITED,POGBA ‘OUT’
LEO Oktoba 30 kutakuwa na mchezo mkali wa Ligi Kuu England ambapo Manchester United watakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Tottenham Hotspur. Manchester United wamekuwa kwenye mwendo wa kusuasua hivi karibuni sawa na Spurs pia nao hawapo vizuri licha ya kupewa nafasi ya kusinda mchezo wa leo utakaopigwa saa moja usiku….