
NYOTA HAWA WA SIMBA KUIKOSA NAMUNGO KESHO
MAMBO yanazidi kuwa magumu kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kutokana na kuanza kwa mwendo wa kusuasa msimu wa 2021/22 jambo ambalo linapoteza tabasamu kwa mashabiki wa timu hiyo. Ikiwa ipo kwenye maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo, kesho Novemba 4, Uwanja wa Mkapa kuna orodha ya…