
AZAM FC YAITULIZA MTIBWA SUGAR JUMLAJUMLA
AZAM FC usiku wa kuamkia leo Desemba Mosi wameitungua Mtibwa Sugar bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Ushindi kwa Azam FC unaipa mwendo mgumu Mtibwa Sugar kwa kuwa haijui ladha ya ushindi mpaka sasa baada ya kucheza mechi saba na kibindoni ina pointi zake mbili. Ni bao la…