BREAKING:WAWA KUSEPA MAZIMA SIMBA

PASCAL Wawa beki wa kati wa Simba leo ameagwa rasmi na mabosi hao kwa kuweka wazi kuwa hataongezewa mkataba mwingine. Taarifa iliyotolewa na Simba leo Juni 21,2022 imeeleza namna hii:”Baada ya kutumikia timu yetu kwa misimu minne, Pascal Wawa hatakuwa sehemu ya kikosi chetu cha msimu ujao. “Mkataba wake utamalizika mwisho wa mwezi huu na…

Read More

TETESI ZA USAJILI ULAYA LEO JUMANNE, JUNI 21, 2022 …CHELSEA, ARSENAL, MAN UTD

Arsenal wanakaribia kumsajili mshambuliaji wa Brazil Raphinha kutoka Leeds United, huku nia ya Barcelona kumnunua mchezaji huyo wa miaka 25 ikiwa imepungua. (Goal – in Spanish) Chelsea wameungana na Tottenham kutaka kumsajili mshambuliaji wa Brazil Richarlison kutoka Everton, ambao wanataka zaidi ya £50m kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25. (Mail) Marina Granovskaia, ambaye…

Read More

KAMBOLE AOMBA JEZI NAMBA 7 YANGA

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Zambia ambaye ni ingizo jipya ndani ya Yanga, Lazarous Kambole, amesema kuwa angependa kutumia jezi namba 7 ndani ya Yanga huku akiweka wazi kuiomba jezi hiyo kwa matumizi ya msimu ujao akiamini kuwa ni namba ambayo anaipenda. Kwa upande wa Yanga, jezi namba 7 ilikuwa ikitumiwa na Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’, ambaye…

Read More

NYOTA MPYA YANGA AOMBA JEZI NAMBA 7

LAZAROUS Kambole mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa anapenda kutumia jezi namba 7 kwa msimu mpya wa 2022/23. Raia huyo wa Zambia amesaini dili jipya ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Alitambulishwa ndani ya kikosi hicho Juni 16,2022 ikiwa ni siku moja baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa 28…

Read More

MAKOCHA HAWA WAINGIA RADA ZA SIMBA

TARIK Sektioui ambaye aliwahi kuifundisha RS Berkane ya Morocco ni raia pia wa Morocco anatajwa kuwa kwenye mazungumzo na Simba. Kocha huyu anatajwa kuwa miongoni mwa warithi wa Pablo Franco ambaye alifutwa kazi baada ya kupoteza mchezo wa Kombe la Shirikisho mbele ya Yanga. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu ambaye…

Read More

PASI ZA BWALYA SIMBA KAMA DAKIKA ZAKE

RALLY Bwalya, mchezo wake wa kuagwa na mabosi zake Simba ilikuwa mbele ya KMC alitumia dk 88 na alipiga pasi 88 kati ya hizo mbili hazikuwafikia walengwa na muelekeo wake ulikuwa ni kwa Pape Sakho. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Mkapa, Juni 19 na Simba iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 ambapo watupiaji walikuwa…

Read More

AZIZ KI KUTAMBULISHWA YANGA

KAMA ulikuwa huamini, basi taarifa ikufikie kwamba, Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Stephane Aziz Ki na siku ya kutua nchini imetajwa. Ipo hivi, mchezaji huyo kwa taarifa za uhakika ambazo imezipata Spoti Xtra, ataingia nchini mapema ndani ya wiki ambayo inaanza kesho Jumatatu kwa ajili ya kumalizana kila…

Read More

KIPA WA ZAMANI AMUONDOA KAKOLANYA SIMBA

KOCHA wa Makipa na nyota wa zamani wa Sigara, Mtibwa Sugar na Yanga, Peter Manyika amewaangalia makipa wa sasa wa Simba, kisha kumchomoa Beno Kakolanya katika kikosi hicho, ili atafute maisha mengine kama anahitaji kulinda kiwango chake. Ubora wa Kakolanya ulionekana katika mchezo wa Simba dhidi ya Yanga akiwa katika lango la Wanajangani na aliweza…

Read More

KOCHA AFUNGUKIA KASI YA MPOLE

FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold amesema kuwa bado anaamini kwamba mshambuliaji wake George Mpole ataendelea kutimiza majukumu yake ya kufunga pale anapopata nafasi. Mpole ni namba moja kwa utupiaji kwa wazawa akiwa na mabao 15 na pasi tatu za mabao ndani ya ligi huku Fiston Mayele wa Yanga akiwa ni kinara wa utupiaji…

Read More

NAMNA MAYELE ALIVYOIVUNJA REKODI YA BOCCO

FISTON Mayele, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Yanga amevunja rekodi ya staa wa Simba, John Bocco kwenye suala la ufungaji na pasi za mabao. Bocco msimu wa 2020/21 aliweza kutupia mabao 16 na pasi mbili na aliweza kuibuka mfungaji bora ambaye anatetea kiatu chake hicho. Msimu huu Bocco kafunga mabao matatu na hajatoa…

Read More

BWALYA AWEKA WAZI KWAMBA AMEJIFUNZA MENGI SIMBA

RALLY Bwalya kiungo wa Simba amesema kuwa miaka miwili aliyodumu hapo amejifunza mengi kwa kuwa amefanya kazi kwa ushirikiano mkubwa. Jana Bwalya alicheza mchezo maalumu wa ligi na kuagwa kwa heshima na wachezaji pamoja na mashabiki wa timu hiyo ambayo ipo chini ya Seleman Matola ambaye ni Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo. Kwenye mchezo…

Read More

VIDEO:FEI TOTO AMTAJA SAMATTA NA KIBA

KIUNGO wa Yanga,Feisal Salum ameweka wazi kuwa matamasha ya NIFUATE ni mazuri na amewaomba mashabiki waendelee kujitokeza kwa wingi ili kuweza kutoa msaada kwa wengine hiyo ilikuwa ni kwenye mchezo wa Team Kiba na Team Samatta ambapo yeye alikuwa ni kwa upande wa Team Kiba na amemtaja Kiba kuwa mmoja ya wachezaji ambao walifanya vizuri

Read More