
ARTETA:TULIKUWA NA KILA KITU CHAKUSHINDA,SPIDI TATIZO
MABAO kutoka kwa Leandro Trossard dk 28 na Enock Mwepu dk 66 yaliweza kutosha kuipa pointi tatu Brighton mbele ya Arsenal. Ni bao la Martin Odegaard dk 89 Uwanja wa Emirates lilitosha kuwafuta machozi washika bunduki hao wanaonolewa na Kocha Mkuu, Mikel Arteta. Arteta amesema kuwa walikuwa wana kila kitu cha kuweza kushinda lakini haikuwa…